NEWS & UPDATES

MY RAP SONG LYRICS

"Habari zinazochipuka" [OPEN YOUR EYES]- 
Dunia imearibika ukiwa mzuri unalika,mchachu unatapikwa /
wamesema twende kwa amani  mungu ywatulinda, na makwao tumeacha kk[sec] zakesha zashinda/
kawaida kama venye maji ni uwai but twajuwa wazi ukizama ferry una die, sijui mbona watuambie kifaranga akiliki alaf mwisho wa siku watuuzie mayai/
education ndio key lakini we jua wazi kuwa ni only donkey pekeee ndo akosi kazi, hii ni dedication kwa wazazi  ambao the only ndoto wanao wamewai timiza nku kojolea malazi/
uta mwomba Mungu money utamwomba Mungu gari na mwisho wa mwezi boss atakupea ulichokifanyia kazi, hii dunia niya Mungu lakini watu nkama nwa serekali na mwanao akiwa huku alijaribiwa kwa mali.

written by mikindani v. poet and used in tracks like open your eyes and I cant breathe

Pages: 1 2 3

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑

Design a site like this with WordPress.com
Get started